Makapuku Forum

Jamani asante sana ubarikiwe sanasana asante kunipa heshima hii,sikusoma jana napitia changamoto fulani naomba mniombee makapuku wote .
 
Leo ndio siku ya kumuua muhindi

Jana nilikwepa

Mkuu Leo inanipa shida kudadavua nani anachukua advantage kwa mwenzake ule umakini wa kibibi kizee cha kule changanya umakini wa forward pale barca najua ushaona kuwa apa tunamwachia mzee wa historia yake aongeze timu yake vizuri uku nikijiuliza je messi atanyoa ndevu Leo au ataingia na ndevu zake make ndo kitu kilichobaki kizuri kwake haswa japo ubora wake huwezi kuupinga

Hapa naziona 1 to 1 plus touch za mzee iniesta uku nikijiuliza maswali rukuki je ndio sababu pelez anamtaka Ngolo?? Lakini hayatuhusu hayo ....

Leo Mimi muhindi ntamua kwa style nayojua Mimi hata ikibidi sitomsikiliza Marson na prediction zake

Anyway tusisahau at time matokeo ya UEFA waga yana uwiano kwa Siku husika japo sio constant kama avagadro constant ....

Juve kuanzia kwake ni advantage ila ni more advantageous kwa Barca kuanzia ugenini japo uwepo wa Mr captain mwenye timu yake pande zote loooooh kazi ipo kweli .....zile pundamilia like na jeep kifuani zitavaliwa kwa wingi Leo ila kama unayo na wewe usiende nayo kwa kanjibai utakosesha wengi amani....

Epa najiuliza maswali mengi mwekahazina na kapuku msinishangae je Massimiliamo Allegri anamtegemea Paulo Dybala kutimiza ndoto zake pale Tulin au uimara wa mlinda lango lao ,ila akitegemea ubovu wa mara moja moja wa MSN naona kutamponza make miaka 20 sio mchezo

Wakuu ,draw ,kushinda na kushindwa nayo ni matokeo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…