Makapuku Forum

Naamini mmeamshwa salama,Mungu yu mwema nami nieamshwa salama sifa ,heshima,utukufu na shukurani ni kwa Baba...nawatakia juma takatifu jema huku tukiutafakari wema wa Mungu Baba siku zote za maisha yetu.
Tudumishe upendo,amani,mshikamano na uvumilivu

Amos 3:3 Je! watu wawili waweza kutembea pamoja ,wasipikuwa wamepatana?

Mbarikiwe mtokapo na mbarikiwe kila muingiapo,kazi zetu zibarikiwe,mipango yetu ibarikiwe,wabarikiwe wana wenu nafamilia zenu ..wema wa Mungu uwazunguke daima
 
Aksante mama mlezi wetu na wewe MUNGU akuangazie baraka zake kwa ijamaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…