Makapuku Forum

Shemeji yangu Patience123 nakusalimu shemji yangu..Sijakuona kabisa siku kadhaa..
Nilimuasa baba mtumishi asiwafanyie maombi wadada,kwa sababu wadada ndio maradhi yake makubwa,akadai kuwa Jimena anataka kuungama tu basi,cha kushangaza wamejifungia eti anamuombea toba,matokeo yake ndio haya shemeji. Wacha nipeleke hili kwa baba paroko maana mtumishi sasa anahubiri meno badala ya neno.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…