Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Mbona namlinda shunieMkuu mpaka nikuamini
Yaah nikazi rahisi ni kuchunguza what going on na kuwasilisha tu ata senti tano siitajishedede hiyo kazi unaonekana unaipenda sana
hahahha yaan wwYaah nikazi rahisi ni kuchunguza what going on na kuwasilisha tu ata senti tano siitaji
hahahhaahMkuu mpaka nikuamini
aisee ww nakuogopa naomba usiwe mlinzi wangu kabisaMbona namlinda shunie
Ofcoz mmeo lee ni dr. Na sikosei kumuita dr.leehahahah na kweli akili yako imebadilika mshukuru sana lee, wakina mondray walikuacha
Yapi?aisee ww nakuogopa naomba usiwe mlinzi wangu kabisa
kuna siku nilipewa ban ukawa unaongea huku mambo ya jlw
ww sikutaki kabisa
hahahahhah yule wa jana harudi tenaOfcoz mmeo lee ni dr. Na sikosei kumuita dr.lee
Ameweza kuchange my mind lakin kunawatu wanakuja kama mimi wanatukanwayule jamaa wa jana speed yake hadi mi niliogopa shemu
Kuna umbea mwingine unajengahahahha yaan ww
kwahiyo watu wakiachana ww ndio furaha yako eenh
mm sitaki uwe mlinzi wangu kwakweliYapi?
Aendelee kuwekaTunamsubiriaa sakayo
tumeshakulaDah! nimekaa na pilipili yangu mpaka kwa bahati mbaya nikajitovuga machoni lakini sikuona kama kuna shughuli inaendelea. Si vizuri nyie watu!! Afadhali ndizi nilikula mchana na Rambo nikawekea maganda ya ndizi. Shunie au mlikosa masufuria ya kupikia chakula cha "anniversary"?
Mm sio mbaya nitakulinda zidi ya wanyapiaji.mm sitaki uwe mlinzi wangu kwakweli
hahahahhah shedede umenishindaKuna umbea mwingine unajenga
Lakini mimi nasimamia ukweli
Sitaki kuwa mnafiki kama baba nillan
Ulisema mimi ni mroho basi na wewe ni mchoyo, hata karibu jamani?tumeshakula
ulikua haupo banaUlisema mimi ni mroho basi na wewe ni mchoyo, hata karibu jamani?