Nitakua bodigadi wakonaimani huko nyuma yangu na nitafanikiwa
Unajua nataka siku moja na mimi nijidai nitafute na mabord guard kabisa
Namimi nawapenda wanawake wenye changamotoItakuwa vzr sana koz faiza ni mchambuzi mzr wa mambo pia!!
Mkuu kwa hisani ya mama mchungaji haitakiwi kuandika mungu hili jina ni kubwa sana andika MUNGUBwana Yesu asifiwe taifa la Mungu.....asalaam aleykum
Alikuwa anasemaje
Kuna msukuma anamfatilia nilisha achana nae
Huwezi juaa mzee mkavu
Hapana mkuu ngoja faiza foxy aje make yule msukuma alivyokuwa anajiproud niliogopa kaunda uzi mwenyewe "oh mimi nimemtongoza jana leo niko nae namshukuru MUNGU"Mbona unakata tamaa kirahisi hivyo?
shedede hiyo kazi unaonekana unaipenda sanaYaaah leo anivessary nataka unipe fact kwanini umeniamini?
mwambie mwanaume hatakiwi kata tamaa mpk mwishoMbona unakata tamaa kirahisi hivyo?
Daah mkuu kweli nachelewa ila faiza wacha aje nimuelewesheUnachelewa sana mkuu
hahahah na kweli akili yako imebadilika mshukuru sana lee, wakina mondray walikuachaJamani asanteni kwa kunibadilisha mpaka akili aise sio kwa staha na hekima nilionayo saivi
Nikiingia jf chakwanza naangalia makapuku kuna nini? Daah majukwaa kama jamii interijence,siasa za kina bashite , mmu nimesahau mpaka njia ya kuingilia
naimani huko nyuma yangu na nitafanikiwa
Unajua nataka siku moja na mimi nijidai nitafute na mabord guard kabisa
aiseee
Na usijekuniambia hata siku moja kwamba umeniamia nini kazi haitafanya kwa ufanisi
Hahahaha kwanini mama mchungaji
Hapana mkuu ngoja faiza foxy aje make yule msukuma alivyokuwa anajiproud niliogopa kaunda uzi mwenyewe "oh mimi nimemtongoza jana leo niko nae namshukuru MUNGU"
Sasa ngoja aje nimwambie yote yaliyo moyoni uzur si unaniaminia nyagei we wacha aje
hahaahhamama mchungaji harakati zangu uwage unaniombea maana nyingi zinaishia ukingoni
Humu mama mchungaji nafikir nishaota na mizizi kabisa