Makapuku Forum

Ndio Mkuu, umeona kasi aliyokuja nayo ya kuniacha?
Ngoja nikutag, mwanamke amekoswa staha kwa mumewe ya kunyenyekea na amekuja na ripoti ya kufunga vilago. Inaonyesha dhahiri alikuwa kwa mchepuko.
Mkuu, una maamuzi kwenye hii ndoa iliyo ukingoni.
si wewe ndo umeanza na kutaka youngblood akutafutie mke..Unanipenda kweli wee??
Hujiuliz nko kwenye hali gani unaniita mie laghai..kama nlikua naumwa au nimpata ajali..Endelea kutafuta mke mwingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…