Neno lilishatolewa na kutafakariwa mkuu sio mpaka upigiwe kengeleShalom! Naona humu ndani kuna mama mchungaji lakini sisikii kengele za ibada zikilia. Au tunashiriki ibada ya kwa Gwajima!?
Huku milimani kwa Mkwawa tupo salama tumeamka na mvua na kibaridi cha kunyunyinza!Mm namshkuru Mungu sijambo sijui ww
umesahau tena shahidi sakayo, shedede na transcendWapenziii??
1967 - Ndege ya kwanza ya Boeing 737 yaanza safari yake ya kwanza.
missed you too NyageiMissed you sana sana
Chai bado?
Ni jambo la kujivunia katika hili- Leo ni Mwaka Mmoja wa Makapuku Forum.
Iliasisiwa na Bitoz na Bailly5 bila kumsahau Jimena ikiwa na lengo la kuleta umoja na usawa kwa baadhi ya members ambao sio wakongwe waliokuwa wanabaguliwa na kutengwa pindi wanapochangia katika threads za wanaojiita wakongwe.
Binafsi sikuwepo wakati inaanza nilikuja kujiunga nayo mwezi mmoja baadae lakini mpaka leo sijawahi kujuta, kwani imenikutanisha na watu wengi ambao nimejifunza mengi kwao bila chuki yoyote zaidi ya upendo wa hali ya juu.
Changamoto ni nyingi lakini tunapambana nazo na ndio maana leo tunatimiza mwaka mmoja kwa kishindo cha hali ya juu.
Kwani hakuna aliyeamini kama KF ingefikia hapa ilipo wengi walidhani ingekufa kibudu wakidhani ni nguvu ya soda.
Hivyo basi, leo tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja, tufarahi, turukeruke, tujidai kwani haikuwa rahisi kufika hapo.
Nitoe tena pongezi kwa waasisi ambao ni;
Bitoz
Bailly5
Jimena
Pengine bila wao leo hii tusingekuwa hapa.
Heri ya Mwaka Mmoja kwa Makapuku Forum.
poleni sana na baridiHuku milimani kwa Mkwawa tupo salama tumeamka na mvua na kibaridi cha kunyunyinza!
AmenAsalaam aleykum Kapuku's
Tumsifu Yesu kristo Kapuku's
Bwana Yesu asifiwe Kapuku's
Shalom Kapuku's
Sina mengi ya kuzungumza hapa katika kuadhimisha siku yetu ya leo
Napenda tu kutoa rai kwa Makapuku wenzangu kwamba tudumishe amani, upendo na mshikamano ndio silaha kuu ili kuzidi kuwa bora.
Happy birthday to all Kapuku's for one year.
Ahsante le dictator Mussolin5 kwa historical segmentLeo Katika Historia:
Niwatakie Jumapili njema ya Matawi.
sante Mussolin kwa historia na Bitoz kwa pichaLeo Katika Historia:
Niwatakie Jumapili njema ya Matawi.
Tushaizoe wenyewe na bila ya baridi hakuna Iringa!!poleni sana na baridi
Leo hujala mkate kanisani shem?missed you too Nyageingoja lee aone
chai hamna shemela sbbu mwenye nyumba kafunga kwaresma
1969 - Ndege ya kwanza ya Concorde kutoka Uingereza yaanza safari zake.
sijala she.Leo hujala mkate kanisani shem?
Lee hana noma cause hakuna ubaya wowote hapo
Ni ndege ya kivita?
Pole shem wanesijala she.
Jumamosi ijayo utubu ili Jpili upate kupokea mwili wa bwana wetu Yesu kristosijala she.
Ukienda against nao tu, mama yako atakulilia.CIA ni hatari sana kwenye hii dunia