Makapuku Forum

La liga:

Madrid vs Madrid real and Atletico
Real Madrid 1-1 Atletico Madrid

Bado BBC imeshindwa kuwa na ule uwiano wake sawia na jina lake.... Bale+Benzema+ Christian. Hawa wanadamu muda unakwenda mbio na wao wanakwenda mbio.... Bale Bado anadaiwa thamani yake katika michezo ambayo inahitaji malipo ya thamani yake... Namna Madrid walivyokuwa katikati kabla Toni Kroos kutoka na namna mapokeo ya Atletico yalivyokuwa baada ya Toni Kroos kutoka ni dhahiri kuwa kiungo Yule alikuwa na umuhimu wa majukumu maana ubize wa mpira eneo la kati kwa Madrid ulipungua sana na tukaanza kuwaona Atletico wakichuku eneo la kati na kufanikiwa kusawazisha goli kupitia eneo hilo hilo...

Making mbovu kabisa kwa upande wa Madrid... Mipira mingi ilikuwa inapotea kirahisi sana hususani kutokana na pasi za mabeki wao wa kati hapa namzungumzia Ramos na Pepe....

Njia pekee ya kumfanya Zidane alale salama ni anayemfuata apate matokeo mabaya tu. Msimu wa lawama wacha tulaumiane tu.
 
Naona yametimia anayemfuata akumbana na dhahma nyingine tena
 
Wakuu kumekuchaa salama ..tumshukuru aliye juu kwa kutuwezesha kuiona Siku hii muhimu kwetu kwa kafikisha mwaka mmoja ,tunawashukuru founder wote mkuu rais Bitoz asante sana kwa kutuwezesha na sisi tukawa na Sehemu yetu ya kujitawala ...shukrani balozi Bitoz na kapuku wote

Nikiri wazi kuwa Mimi hili jukwaa limekuwa faraja kwangu nikiwepo humu najihisi amani

Unbelievable facts ; makapuku anniversary imeshare na birthday ya MWANANGU Siku ya Leo ..kwa nini nisiipende kapuku ???

Shukrani wakùu

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…