Makapuku Forum

Mi nimeshajitoa mkuu kwa sababu mchuano ni mkali mno. Sijawahi kuona mwanamke anagombaniwa na midume lukuki namna hii. Sijui ana nini huyu Shunie. Kama nilivyosema, mimi nimeamua kuhamishia majeshi Kigali. Couple za hapa ngoja tuziache zipumzike.
Nilishakuonya wa kigali huwawezi ni wasaliti, ukabila unawatesa mkuu. Hebu ingia kule basi?
 
sasa kwa wazee unafanya nini

Nakati mi nalindwa na damu ya yesu apa
SAMAHANI WAPENDWA..Tujitahidi kuheshimu majina haya tukiyaandika hivi :

Yesu
YESU
SIO
yesu


Mungu
MUNGU
SIO mungu


Bwana
BWANA
SIO
bwana

Maana tukiandika visivyo tutakua tunazungumzia wale mungu wengine na sio Mungu Baba Mwenyezi tunayemuabudu. na kumuheshimu....asante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…