Makapuku Forum

Mzee wa serikali umekuja mbio km kawaida yako
Ni kweli sijui kitu!
Swali...walioongozana na Bashite Clouds ni akina nani?
Maana mwenzetu inaonekana una akili
.....
Madenge hujanielewa na sijui ni kwa nini umehemka wakati siyo kawaida yako. Ni wapi nimesema kuwa hujui kitu? Kuna mtu ambaye hajui kitu hapa duniani? Na mimi siyo mtu wa serikali. Sijawahi kufanya kazi serikalini na sina uhusiano wo wote na serikali hii wala nyinginezo. Hata hivyo nina tabia ya kukwepa hii tabia ya kutazama mambo kishabiki, kijuu juu bila kuzingatia visababishi na mazingira. Nimesoma soma falsafa, logic na mambo mengine mchanganyiko na hii imenijengea tabia ya kuangalia mambo kwa mantiki kidogo. Na ukisoma comment yangu hapo juu utaona nilichokuwa najaribu kusema.

Jibu: Walioongozana na Bashite Clouds mimi nitawajuaje? Ukimuuliza Bashite mwenyewe swali hili si atakujibu tu tena kirahisi? Madenge bwana!
 
OK
.....
 
Madenge acha mihemko na ad hominem attacks. Huwa nakuheshimu sana na siamini kama ni wewe unayesema hivi. Kwenye boxing huwa tunasema "You are hitting below the belt". Mpaka na ukabila tena? Low IQ?

Mimi niko huru, sina chama na sitegemei kujikomba kwa mtu ye yote ili kuendesha maisha yangu. Lakini pia huwa napenda sana kuangalia mambo kwa pande zote zote na hujitahidi sana fikra zangu kutogubikwa na ushabiki wa kisiasa na mapenzi mahaba. Sasa wewe tayari umeshakimbilia kunihukumu!

Na kwa nini una uhasama hivi na mawazo yanayokinzana na msimamo wako? Hatuwezi kuhitilafiana kimtazamo bila kushambuliana? We si mpigania demokrasia wewe? Ni demokrasia gani unayopigania ambayo hairuhusu mawazo usiyokubaliana nayo? Umenisikitisha sana!
 

Siyo kweli!
Sawa
Haina noma
....
 
Kuna watu wanafikiri kuwa watakuwa madarakani maisha yao yote. Na huyu Bashite angali kijana bado. Ngoja tuone atakakofika lakini hata kama unapendwa na baba wa familia namna gani, na uko spoiled kabisa kabisa, kuna wakati common sense itakukanya tu. Ndiyo maana nimekuwa nikisema kuwa huyu dogo pengine ana tatizo la kisaikolojia ambalo linatokana na makuzi yake ya kujikomba komba na kujipendekeza kwa watu.

Huyu Roma naye basi akate mzizi wa fitina aseme kilichompata na waliomteka; na wachukuliwe hatua. Vinginevyo Tanzania hii itageuka kama Mexico ambako kutekwa ni jambo la kawaida tu. Tabia hii ikiachiwa, basi tunakoelekea kama taifa wala siyo kuzuri!

Na kama kuna la kujifunza hapa basi nguvu hizi zilizofanikisha kupatikana kwa Roma zielekezwe katika kumtafuta Ben Saanane. Kumbe inawezekana!
 

Game limeisha
Kwa matokeo haya Yanga kusonga mbele ni ngumu km mnavyojua Waarabu wakiwa kwao ni full figisu
*Kujidondosha ili wapate penalty/faulo
*kuongrzewa dk nyingi za majeruhi
*Game kupigwa usiku
*Yanga kuchezea kadi za kutosha
*figisu nje ya uwanja

Wabongo bado hatujui kutumia uwanja wa nyumbani
.......
 
There is nothing to fear rather than fear itself.... Aksante nape kuna jambazi mteka watu
 
Swaga za Bashite sio za nchi hii
....
.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…