Makapuku Forum

Mzee wa serikali umekuja mbio km kawaida yako
Ni kweli sijui kitu!
Swali...walioongozana na Bashite Clouds ni akina nani?
Maana mwenzetu inaonekana una akili
.....
 
Mzee wa kolomije uko deep sana well done
 
Huyu jamaa anafikiri humu wote ni pipo with low IQ kwavile tunapigaga stori hivyo hatujaelimika wala hatujui siasa chafu au nini na nini

Akisikia tunaikosoa serikali ya msukuma mwenzie basi atakuja rundo la maneno kudefend
Nimeishamzoea

........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…