Katiba inasema all people are equal.....Hapo Makondakta anataka kuondoa ombaomba mjini sasa wao wanapinga kwa madai kwamba wana HAKI ya kuendelea kuwepo
...............
Ooooo!!!!!! Asante mkuu.Kama wana uwezo wa kupinga basi pia uwezo wa kufikiri na kutafuta hela kwa njia nyingine wanayo. Ila walemavu wa macho wangefikiriwa namna ya kuwezeshwa