Makapuku Forum

Alimwita rogie

Hapana sikudil nae nilitaka kujua je? Shunie kajichanganya au alikuwa seleous nikafanya investigation nikabaini hakuna kinachoendelea ....

Ni hayo tu mkuu
Ngoja niamini uniambiayoo .....

Kazi njema ukipata mda ufike home akuandalie ata juisii
Lengo umbane kila kona make wekend mcharuko sitaki
 
Hello fam..

Nimekuja kusema muwe na usiku mwema..
Habari za asubuhi sweetheart, mume wa ndoto zangu jamani!!!!

Habarini za asubuhi wana kapuku, naamini mko salama......

Muwe na jumamosi njema, nawapenda wote.....

T mume wangu, you don't know how much I love you sweetie!!! Naomba uamke hubby tusali!!!
 
Wakuu kumekuchaa salama japo mioyo ya watanzania wengi haina amani kwa mambo yanayoendelea nchini

Inasikitisha sana mtu apotee kama kuku anavyobebwa na mwewe ...inauma sana...



Soon magazeti kwa udhamini wa mama mchungaji
Tumuombe Mungu atusaidie tusiache kuwaombea watu hawa waliopotea kwa hali ya utatanishi,na aziangalie kwa wema familia zao ,mke wa Roma,Bibi ya Roma aliyelazwa ICU kwa mshtuko,mama ya Roma na ndugu jamaa na marafiki wote,tumuombe Mungu wa huruma atuhurumie na atusaidie watu hawa wapatikane salama na wote wanaoumia wapate uponyaji wa haraka...Mungu wetu anasikia kuomba kwetu atafanya njia mahali pasipo na njia..Amen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…