Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Nothing to add dear .. inshort we are together ....
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Nothing to add dear .. inshort we are together ....
Mungu awafanyie wepesi kwenye hili jambo inasikitisha sana
Hii serikali ni ya kijinga wamrudishe ROMA ili km vipi tuwape HarmorapaYanayoendelea Tanzania mambo ya kipuuzi sana ...
Mkuu umeamua unichekeshe niliandika kwa uchungu [emoji23] [emoji23]Hii serikali ni ya kijinga wamrudishe ROMA ili km vipi tuwape Harmorapa
.....
Mkuu uko poaaHello fam..
Nimekuja kusema muwe na usiku mwema..
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
We miss you and Shunie mkuu ..poleni na majukumu..come back soon[emoji120]Wakuu Kwema humu ??
Nawamisi kiukweli familia yangu pendwa kapuku forever
Ila mkesha wa kesho kuelekea kilele cha Siku yetu tutakuwa wote
Asante sana mama mchungaji ...matumaini baba mchuchu yuko poaaWe miss you and Shunie mkuu ..poleni na majukumu..come back soon[emoji120]
Hado hado ...ukaribu wenu kama macho....kama mapacha..mnameremeta...[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]nimeingia tu kapuku nakutana na ujumbe wako
nimekumiss pia lee wangu
nakupendaa nakupendaa yaan nakupenda wewe tu cheusi wangu[emoji8] [emoji8] [emoji8]
nikutakie usiku mwema ulale salama unijie ndotoni kama kawaida hii hali ya hewa acha i wish ungekuepo ndio hivyo ila jua nipo nyuma yako
Mwisho bila nguo[emoji15] [emoji15]
Yuko poa kabisa namshukuru MunguAsante sana mama mchungaji ...matumaini baba mchuchu yuko poaa
Shunie yupoo
Shemeji unakibarua kingumu sanaMungu awafanyie wepesi kwenye hili jambo inasikitisha sana
Kama kawa mzeeMakapuku mko fity?
Si unajua Harmorapa ni "msanii mkubwa" tunashangaa wamemteka ROMAMkuu umeamua unichekeshe niliandika kwa uchungu [emoji23] [emoji23]
Anyway wanachopanda watakivuna
i love u more than anything in the whole wide world [emoji8] [emoji8] [emoji8]
we miss u too mama mchuchuWe miss you and Shunie mkuu ..poleni na majukumu..come back soon[emoji120]