Aishah2016
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,225
- 2,482
Jmn apewee tu[emoji3] [emoji3]Mlete tumpe chicken party
Jmn apewee tu[emoji3] [emoji3]Mlete tumpe chicken party
Namfahamu tabia yake.Kwa nini una wasi wasi shem
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Jipekue kisha chukua maamuzi yaliyo sahihi.
Wala hana tatizo, we amini hivyoNamfahamu tabia yake.
Hana matatizo wala ilaWala hana tatizo, we amini hivyo
HubbyHana matatizo wala ila
AACHE MANENO AWEKE PICHA MAANA ALITUAHIDI.
Ukistajabu ya tz utayaona ya mseven[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
Mpaka umlete weweJmn apewee tu[emoji3] [emoji3]
[emoji17] [emoji17]Mpaka umlete wewe
Mbona umenyong'onyea?[emoji17] [emoji17]
Ukiachana na utawala wa mabavu, sometimes Mseveni huwa yuko Poa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nasubiria mkuuMungu akisaidia leo tutakua na Did you know?
Nitafidi na tuliyokosa jana.
Usikose maana leo yatakua ni maajabu zaidi.
Hapana, kunisuspect mimi ni kunionea, naona atakuwa amekwazwa kwa namna fulani.Ila wewe ndio suspect number one fakalava
Uliibuka huku kuja kumchukua na toka siku hiyo haonekani humuHapana, kunisuspect mimi ni kunionea, naona atakuwa amekwazwa kwa namna fulani.