Makapuku Forum

Rwanda hakuna mapenzi ya dhati na asikudanganye mtu Mrwanda hawezi kubeba mimba ya mtu asiyekuwa mrwanda lazima azae na mrwanda wewe utaishia kulea mimba na mtoto wakati mwenzio katia mimba...ogopa
 
Mapenzi ya nn kaka kma kina vutia ndo mapenzi hayo mimi cpend mwanamke anipende nataka anivutie tu inatosha sana
 
Give love back
 
Tehteh teh mkuu huko nitafika mwezi wa 9 na nikifika sirudi bongoland ata kwa mtutu wa mbao
 
Rwanda hakuna mapenzi ya dhati na asikudanganye mtu Mrwanda hawezi kubeba mimba ya mtu asiyekuwa mrwanda lazima azae na mrwanda wewe utaishia kulea mimba na mtoto wakati mwenzio katia mimba...ogopa
Mi nawaonaga warwanda wapole na tabia nzur nakumbe ndo tabia zao wanazaa we unalea wanakugeuza beki tatu

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…