Makapuku Forum

1988 - Fabrice Muamba anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Arsenal, Birmingham City na Bolton.

Licha ya Kuzaliwa, Kinshasa, Zaire aliamua kuchukua Uraia wa England.

Alistaafu soka mapema tu mara baada ya kudondoka uwanjani na moyo wake kusimama kwa dakika 78 bila kufanya kazi.

Shabiki mmoja aliyekuwa uwanjani ambaye kitaaluma ni Daktari ndiye aliyeokoa maisha yake kwa kumpatia huduma ya kwanza.

Ilikuwa ni mechi ya Kombe la F.A ambapo Bolton walicheza dhidi ya Tottenham.
 
Halafu siku yake ikifika Unaweza kushangaa akifa "kifo rahisi"
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…