Makapuku Forum

Ni kweli...R.I.P Malcom maneno yako yana maana kubwa maishani.
 
Wapendwa makapuku naamini Mungu amewaamsha salama,tuendelee kumshukuru kwa wema wake kwetu,wagonjwa poleni Mungu atawaponya,wenye changamoto yoyote Mungu aingilie kati,waliofiwa poleni sana Mungu awape faraja ya kudumu ..nawatakia siku njema yenye baraka tele..na mpate mafanikio Amen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…