Makapuku Forum



ha hahahhahaahhah, umehamia Spurs sasa hizi 😱, Chelsea tisha sana tunapika makande kwa kuyabanika
 
NUKUU YA LEO


The future belongs to those who prepare for it today

Maisha ya baadaye ni ya wale wanaoweza kuyaanda leo


Haya maneno yalipatwa kutamkwa na Mwanaharakati na mmarekani mweusi Malcolm Little au Malcolm X ambaapo pia aliitwa el-Hajj Malik el-Shabazz.

Malcolm Alifariki akiwa na miaka 39 kwa mauhaji yaliyofanyika NY katika kitongoji cha Manhattan kwa kupigwa risasi 21 kifuani

Hata hivyo Malcolm X aliacha watoto 6 na mjane mmoja.

Mliopata kusoma historia ya taifa la marekani na pan-africanism mtakuwa mnamkumbuka huyu jamaa vizuri.






Wakuu:

Tuandae kesho yetu leo! Ukitakata uwe na nyumba mwakani lazima ujiandae leo! Ukitaka kuwa mtu wa namna fulani lazima ujiandae leo..!


Make your tomorror!

Transend ..
 
Asante mkuu ...hope uko poa

Nakuu safi kabisa maneno kuntu

plan 2day enjoy 2moro
 
Umeamkaje sweetie, niko salama mume wangu!!!

Nawahi mazoezi we pumzika kidogo.....

Mmeamkaje wana familia, nawapenda wote....

T mume wangu, usiwe na hofu mie ni wako peke yako..... Nakupenda pumzi yangu
Morning my world..

Hubby wako niko pouwa sana! Leo nimechelewa kuamka kidogo..


Ndo najiandaa now mama. !


I real missed you my love..! Piga kazi kwanza..

Baadaye tutakuwa wote mamie..

Morning Sakayo wa Transcend
 
Nakupenda jojo wangu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…