Makapuku Forum

Ukiisoma bible kwa akili za kawaida utagundua imejaa makosa/mapungufu/uongo 70%+

Ila ukiisoma kiimani utasema ipo sawa 100%+ .....Hivyo inategemeana na namna ulivyochagua either kutumia akili zako au kuitumia Imani yako
..........
Well answered
 
Natamani kujua nami,ngoja wataalamu waje hapa
 
Asante mkuu mbarikiwe kazi zenu ni njema[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…