Makapuku Forum

Ukiisoma bible kwa akili za kawaida utagundua imejaa makosa/mapungufu/uongo 70%+

Ila ukiisoma kiimani utasema ipo sawa 100%+ .....Hivyo inategemeana na namna ulivyochagua either kutumia akili zako au kuitumia Imani yako
..........
 
Jibu:
1/Inawezekana wamegeuza picha kwa kusudio maalum,
2/Inawezekana ni wamegeuza picha bahati mbaya tu
[emoji117] Hata ww ukitumia photo editor Unaweza kugeuza picha kushoto kulia
......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…