BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Mkuu Nyagei najua umefurahi sana kwa ujumbe hapo juu ubarikiweBaba mchungaji atafurahi sana kuona salamu zako asante mbarikiwe
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Pamoja mkuu..
Sasa hivi Lazima jf waelewe Makupuku...
Hii tunaita
The Revival of Makapuku forum
Umenenaaa vyemaa mkuu[emoji120] [emoji120]
Tutakiane mema katika kile tunachokwenda kukifanya na vile vinavyoendelea kufanyika lengo ni kupashana habari kwa namna moja ama nyingine na kuwa bora kwa muunganiko wetu.
nzurii mkuuu karibuhabariii
Leo ni big game tu mkuuMwekahazina umetishaa hayo ndo mambo
Epl Leo ni Leo namuombea mabaya spurs make city Leo siamini kikosi changu Leo ila point muhimu Leo
Napoli na juventus bonge la mechi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Anapigwa leo
Sana sana mama mchungajiMkuu Nyagei najua umefurahi sana kwa ujumbe hapo juu ubarikiwe
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Leo Katika Historia:
1952 - Fidel Castro anatangaza vita ya kumng'oa Rais na Dikteta wa Cuba Fulgencio Batista.
Wanakuja kumg'oa miaka saba baadae.
Hilo muhimu kikubwa ni kujituma ili tusiliache jiji la bashiteUmenenaaa vyemaa mkuu
Kugufurika jadi yetu tusisahauu
Kweliìi mkuu Leo hapatoshiiLeo ni big game tu mkuu
EPL iko tight sana sidhani kama Conte atakubali kufungwa tena pale Darajani japo Victor Mosses uwepo wako bado upo shakani
Liverpool nae hatabiriki kwa timu ndogo
Arsenal hatokubali kupoteza nyumbani kama alivyoduwazwa na Watford
Juve nae anakwenda kulinda tu ili apate nafasi ya kucheza fainali
Hatari sanaTafakari ya kirat ...
Morning mkuu hope uko poaMorning lee
Poa sanaMorning mkuu hope uko poa