Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muwe na jioni njema mashemeji na dada angu na mama mchungaji

hii hali ya hewa ya leo jamaan acha tu lee wangu nimekumiss tu natamani ungekuepo tujifunike shuka moja nakupenda sanaa acha tu niendelee kulala

nawapenda kapuku wote mbarikiwe sana tutaonana badae
Asante my dear naamini umepata muda mzuri wa kupumzika ubarikiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom