Makapuku Forum


Ndoto si mpaka tulale, au hizi mibaraka (bolded) tutazisoma tukilala?😵
 
Morning family..

Tuombe

Ikiwa ni siku nyingine mpya na Siku mpya ya Jumanne , MUNGU wetu ,hakuna MUNGU kama, wewe ni Mkuu, ahsante sana kwa ulinzi wako usiku wa Leo kwa Kila mmoja wetu

Tunaomba ulinzi wako na Baraka zako kwa Kila mmoja wetu, miongoni mwetu na kila jambo tulifanyalo kwa ajili ya riziki zetu zote tukafanye kwa utakatifu wako..

Nasi pia tukabarikiwe na kuwa viumbe wapya katika maisha yetu.. Tunakuomba hayo huku tukishuru.. AMEEEN
 
Aminaaaa
 


...hii sala ndefu sana, nasubiri tangazo la sadaka tu sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…