Makapuku Forum



Psalms 150
Zaburi 150

Tumsifu Mungu pekee kwa maana yeye ndiye muamuzi wa yote katika maisha yetu,

Ametupa nguvu, uwezo na akili ya kupambanua mambo mbali mbali ili tuweze kumsifu yeye kupitia majaribu yanayotukumba kila siku.

Ewe Kapuku mwenzangu hebu jitafakari umefanya lipi la kumpendeza yeye mpaka sasa unapumua?

Be blessed kwa kunielewa.


USIKU MWEMA
 
Amen asante kwa tafakari
 
Sawa mume wangu!!!

Mornie handsome!!!

Poleni na msiba jamani

Pamekucha, ni jumanne ingine mpya. Ikawe ya mafanikio kwako

Nazidi kukupenda mume wangu.....
 
I miss you so much mke wangu..

I know how much you care abt me..! Thats siwezi kulala bila kuja kukutakia usiku mwema mke wangu..

I love you sooooo much my love..

Lala nikufunike kipepeo wangu..

Loove so mwaaaa
Wooow!!!!
Nakupenda mnoo ndo maana nakujali, nimjali nani zaidi yako mume wangu!!!??

Nililala salama na kukuota usiku wote, nimpe nini Mungu kwa kukuleta kwenye maisha yangu???!

Mungu na kushukuru kwa kuniletea ubavu unaolingana na ubavu wangu!!!!

T Nakupenda sanaa jamani, amka basi mume wangu tu_ jog kabla ya kuoga tuyawahi majukumu!!! Nshakuandalia nguo za michezo tayari love

Nakupenda ujue
 
Mungu ni muaminifu, hakika ametupa neema ya kuniona siku nyingine tena!!!

Mmeamkaje wana kapuku

Shunie na shemeji Mmeamkaje jamani!!!

T mume wangu Usisahau kusali, ili Mungu atuongoze siku nzima ya leo...

Kakangu Q na wengine mashemeji zangu ni muda wa kuamka, kusali na kupiga zoezi kidogo...

T Nakupenda sanaa jamani!!!

Muwe na siku yenye tabasamu tele na Mungu wangu awabariki, nawapenda woote but I love my T da most!!!!!!
 
Shemu tunamshukury aliye juu tuko salama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…