Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Yaaani anatoka labour aje jf..Mkuu subir mwenyewe ajee saaasa
Hatukuwezi na fix zako...hahahaaa!Mm nimeishia kuviona fom twu.
Sikubahatika kufika fom3
Ukweli nakuambia bro si unajua mm sifichagi vitu vyangu nasema tu.Hatukuwezi na fix zako...hahahaaa!
Kuwasalimia kidogoYaaani anatoka labour aje jf..
Sawa tuu mkuu..! You fooled me
Hapanaa...!Kuwasalimia kidogo
Ni fiksi tu za 1st AprilHakuna cha mtoto wala mjukuu
Kuwasalimia kidogo
Nishaanza kumshitukia na mmHapanaa...!
Huu ni muda wa mama mkwe kukanda kanda sasa..
Time will tell.Hahaha!
I took it serious..


. Huyu Shunie huyu anapendwa na kutamaniwa na wangapi hapa JF? Ana uzuri wa aina gani huyu Shunie? Kama nilivyosema jana, mi nimeamua kuhamishia majeshi Kigali. Endeleeni kugombania huyu Shunie wenu hapa JF 

Atakuwa anadamu au nyota ya mchanga wa ACCACIAMume mwenza (Lee). Nimekuta mahali watu wanazozana eti hili guu ni la Shunie. Huyu Shunie huyu anapendwa na kutamaniwa na wangapi hapa JF? Ana uzuri wa aina gani huyu Shunie? Kama nilivyosema jana, mi nimeamua kuhamishia majeshi Kigali. Endeleeni kugombania huyu Shunie wenu hapa JF
![]()
Atakuwa anadamu au nyota ya mchanga wa ACACIA. Kwani sio Pombe, wala Spika au Katelephone (kasimu) wote walikuwa na hamu ya kuushika.Mume mwenza (Lee). Nimekuta mahali watu wanazozana eti hili guu ni la Shunie. Huyu Shunie huyu anapendwa na kutamaniwa na wangapi hapa JF? Ana uzuri wa aina gani huyu Shunie? Kama nilivyosema jana, mi nimeamua kuhamishia majeshi Kigali. Endeleeni kugombania huyu Shunie wenu hapa JF
![]()
Anko badooHapanaa...!
Huu ni muda wa mama mkwe kukanda kanda sasa..
Aisee inawezekana.Atakuwa anadamu au nyota ya mchanga wa ACACIA. Kwani sio Pombe, wala Spika au Katelephone (kasimu) wote walikuwa na hamu ya kuushika.
Leo ni tarehe mojaUkweli nakuambia bro si unajua mm sifichagi vitu vyangu nasema tu.
Sijafika fomu 3
Kukaribisha watu kumbe ndo walivo hivi ??Mume mwenza (Lee). Nimekuta mahali watu wanazozana eti hili guu ni la Shunie. Huyu Shunie huyu anapendwa na kutamaniwa na wangapi hapa JF? Ana uzuri wa aina gani huyu Shunie? Kama nilivyosema jana, mi nimeamua kuhamishia majeshi Kigali. Endeleeni kugombania huyu Shunie wenu hapa JF
![]()
![]()