Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Kumbe ni wewe? Nilitaka kukusahau ulivyobadili avatarSina wivu ila nina mbinu ya kudhibiti hilo liroho lakukimbiwa unalorushia vijana wetu..
Kumbe ni wewe? Nilitaka kukusahau ulivyobadili avatarSina wivu ila nina mbinu ya kudhibiti hilo liroho lakukimbiwa unalorushia vijana wetu..
Tukupe ndim?I love u too![]()
Sina wivu ila nina mbinu ya kudhibiti hilo liroho lakukimbiwa unalorushia vijana wetu..
Tukiweka mambo hadharani tutakuwa tumeuza ramani ya vita kwa adui mkuu.
PoaMshana jr huyo mwache na th name bado wananitii
Cc; th name
.. lizziebettie

Usiogope nimemzuia mshana jrSijakuelewa hapa kaka mkubwa
Niko makini sana braza
Asante kaka.Nimetoa kwa wote lakini hata wewe umo
Kwenye kapuku Hamna maaduiTukiweka mambo hadharani tutakuwa tumeuza ramani ya vita kwa adui mkuu.
Jimena una vitoto bizuri ee
Kwisha habari yako huyo mtu ni hatari zaidi ya ngoma, ukisikiliza maneno yake utasema umefika mbinguni kumbe ni wale manabii waliotabiriwa.Mbona na mie katangaza kuniacha? Sasa sijui tunawafundisha nn makapuku wenzetu sisi kama watumishi.
Kuanzia Leo maombi nitafanya mimi na mke wangu tu.Usiogope nimemzuia mshana jr
Nashangaa hata mimiNini maana ya makapuku
Amen shemUtakuta damu ya Yesu imenizingira
Silaha yetu tunaijua mimi na wife tu hakuna yoyote anajua humu.
Msalimiee prof majimalefuuuNaingia session nitarejea