Nilikuwa natafuta kijiwe na nishakipata ..Mkuu ni mamlaka tu mkuu, nawe inatosha bhana kwan unamwitaji nani humu
Mpenzi wangu hebu tutoke humu ukumbuni twende sehemu iliyotulia maana naona hapa. Hakufai
Yes babe twendeMpenzi wangu hebu tutoke humu ukumbuni twende sehemu iliyotulia maana naona hapa. Hakufai
ahaa powa ..Nimefurahi kumuona!
Ahaaaa.... Haaa.Mpenzi wangu hebu tutoke humu ukumbuni twende sehemu iliyotulia maana naona hapa. Hakufai
Nuksi tupuAhaaaa.... Haaa.
Kapuku nuks saana
SitumiiTukupe ndim?
Duh,Tanzania mpira bado sana.![]()
Maskini Azam
..................
Lamba gadiSitumii
Shemeji sasa.Lamba gadi
HahahaKwisha habari yako huyo mtu ni hatari zaidi ya ngoma, ukisikiliza maneno yake utasema umefika mbinguni kumbe ni wale manabii waliotabiriwa.
Atakuja kwa siriKuanzia Leo maombi nitafanya mimi na mke wangu tu.
Salama kabisa mkuu,habari ya wewe.Habari ya usiku huu kapukuz??
Nn shem?Shemeji sasa.