Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Kijana hii ni lugha ngumu kwako kijana ni ya rohoni..ninaposema anang'aa namaanisha ana nguvu ya rohoni..umenielewa sasa!Mtumishi sikuelewi ujue.
Kijana hii ni lugha ngumu kwako kijana ni ya rohoni..ninaposema anang'aa namaanisha ana nguvu ya rohoni..umenielewa sasa!Mtumishi sikuelewi ujue.
Hawa She* si watajua swaga zetu!Kwenye kapuku Hamna maadui
Acha hasira mkuu tuma bundle utamwona tena namba yanguniache mkuu nina stress, nitakupiga ngeta moja hiyo
NdioKijana hii ni lugha ngumu kwako kijana ni ya rohoni..ninaposema anang'aa namaanisha ana nguvu ya rohoni..umenielewa sasa!
ni kijana wangu mpendwa..Kumbe ni wewe? Nilitaka kukusahau ulivyobadili avatar
NdioJimena una vitoto bizuri ee
Kazi njemaNaingia session nitarejea
Aaah anajing'atang'ata mara oooh nina pesa nyingi sema na jimena akikibali ntakupa, cjui nin nlamwambia acha ujinga, kaa na pesa zako mimi soo lara1 one, ila ntasema na jimena.Anasemaje tena![]()
![]()
Ule ujumbe nao uliishia wapi?Jimena! Umeshindwa wanyonge utamweza mkurugenzi wa makapuku?
Labda tumuulize moderatorNashangaa hata mimi
Mkuu ni mamlaka tu mkuu, nawe inatosha bhana kwan unamwitaji nani humuSina wivu ila nina mbinu ya kudhibiti hilo liroho lakukimbiwa unalorushia vijana wetu..
Nimefurahi kumuona!ni kijana wangu mpendwa..
Hahahaniache mkuu nina stress, nitakupiga ngeta moja hiyo
Kwa kudra za Muumba tumeonana tena, vipi siku yako imeenda je?Mkuu swalama????
Huyo mchovu sana
Huyo hafai, ogopa sana mtu anaejitangaza kuwa ana fedha, maaana anathamini pesa kuliko utu wa mtu.Aaah anajing'atang'ata mara oooh nina pesa nyingi sema na jimena akikibali ntakupa, cjui nin nlamwambia acha ujinga, kaa na pesa zako mimi soo lara1 one, ila ntasema na jimena.
Jimena naona atakufaa shem wasemaje?