Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Kuna mvua balaajamaan kwa nn hilo baridi lisije na huku kwetu vip mvua
Kuna mvua balaajamaan kwa nn hilo baridi lisije na huku kwetu vip mvua
not yetKakubali au?
Niko sehemu za kaskaz huku mlima KilimanjaroPande gani huko my sisy
Nategemea kukuona nyumbani soonUsijali Kaka jamani
OKMkuu,
Natamani tena niwe napewa lile jukumu ya kuwakaribisha...
I wish it happen again..
mwanamke anaegombaniwa nani sasaMwanaume unakuwaje na mwanamke anagombaniwa kama mpira wa kona.
AsantePoleee mke wangu..!
najipalilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes nami nategemea hivyoMkuu,
Natamani tena niwe napewa lile jukumu ya kuwakaribisha...
I wish it happen again..
poa sanaNiambie mamy
MsalimieHakika najiskia raha tunavyoheshiana na kupendana...shem katulia sasa!
aisee ijage na huku kwetu jamaanKuna mvua balaa
Si wewe hapo..mwanamke anaegombaniwa nani sasa
mpk sasa hajakubali [emoji23] kazana sananot yet
[emoji126] [emoji126]njoo wa ubani nikutambulishe kwa shemej zako
hawachelewi na habari za manfongo
Asante KakanguPole mamiii
Ukisoma posts chini ya 100k nilikuwa na mrembo mmoja matata aitwa Patience123, tulitesa sana, siku kadhaa sikuingia humu, niliporudi nilikuta Sumbai kabeba halafu huyo dada anajua kuigiza utadhani ni kweli, alinipa maneno matamu nkakolea utafikiri ni kweli na watu walikuwa wakifustilia kapo yetu sanaa, aliponimwaga, hakika nilichanganyikiwa na hapakutosha hapa.kaka natamani kujua kisa chako
Upweke tuYeah niko poa cjui ww
Khaaaa naona umekuja kunivunjia ndoaSi wewe hapo..