Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Nakupenda zaidi dadakeKaka
Nakupenda
Nakupenda zaidi dadakeKaka
Nakupenda
Dooh!Ukisoma posts chini ya 100k nilikuwa na mrembo mmoja matata aitwa Patience123, tulitesa sana, siku kadhaa sikuingia humu, niliporudi nilikuta Sumbai kabeba halafu huyo dada anajua kuigiza utadhani ni kweli, alinipa maneno matamu nkakolea utafikiri ni kweli na watu walikuwa wakifustilia kapo yetu sanaa, aliponimwaga, hakika nilichanganyikiwa na hapakutosha hapa.
Maumivu yale sijasahau, so nilielewa maumivu ya Tranc


Mhuuuu hizo asali.Hofu yako tu, hiyo ni salamu ya kawaida tu, japo kinywa changu kimejaa asali kwa warembo isikutishe
Ni balaa mamyaisee ijage na huku kwetu jamaan
hahahhh patience yupo na elly sasa hivi aliniambia amekumwaga sbbu umefuliaUkisoma posts chini ya 100k nilikuwa na mrembo mmoja matata aitwa Patience123, tulitesa sana, siku kadhaa sikuingia humu, niliporudi nilikuta Sumbai kabeba halafu huyo dada anajua kuigiza utadhani ni kweli, alinipa maneno matamu nkakolea utafikiri ni kweli na watu walikuwa wakifustilia kapo yetu sanaa, aliponimwaga, hakika nilichanganyikiwa na hapakutosha hapa.
Maumivu yale sijasahau, so nilielewa maumivu ya Tranc
i really love u beib
Kaza kiume utatoboa.not yet
Kwa hiyo hutaki kuwa Baba mchungajiHofu yako tu, hiyo ni salamu ya kawaida tu, japo kinywa changu kimejaa asali kwa warembo isikutishe
Basi acha nisepe zanguKhaaaa naona umekuja kunivunjia ndoa
Pole KakanguUkisoma posts chini ya 100k nilikuwa na mrembo mmoja matata aitwa Patience123, tulitesa sana, siku kadhaa sikuingia humu, niliporudi nilikuta Sumbai kabeba halafu huyo dada anajua kuigiza utadhani ni kweli, alinipa maneno matamu nkakolea utafikiri ni kweli na watu walikuwa wakifustilia kapo yetu sanaa, aliponimwaga, hakika nilichanganyikiwa na hapakutosha hapa.
Maumivu yale sijasahau, so nilielewa maumivu ya Tranc
Kwema?
AsanteNakupenda zaidi dadake
Jana nimeumia kweli..Sitaki uumie nilivyoumiaga mkuu
Naaomba utii kiu ya ndugu yangu juu yako.
sepa tu Rogie uende kwa espy wako yupo humu humu chit chat mtafuteBasi acha nisepe zangu
Mkuuu na Mimi itanitokeaa ??Ukisoma posts chini ya 100k nilikuwa na mrembo mmoja matata aitwa Patience123, tulitesa sana, siku kadhaa sikuingia humu, niliporudi nilikuta Sumbai kabeba halafu huyo dada anajua kuigiza utadhani ni kweli, alinipa maneno matamu nkakolea utafikiri ni kweli na watu walikuwa wakifustilia kapo yetu sanaa, aliponimwaga, hakika nilichanganyikiwa na hapakutosha hapa.
Maumivu yale sijasahau, so nilielewa maumivu ya Tranc
nikikosa hapa siangaiki tena nitakuwa mpenzi mtazamajiKaza kiume utatoboa.