Makapuku Forum

fakalava huyo..
Nambie wangu
Clkey kamjibu fakalava

Niko hapa ofcn, nipitie tuondoke wote.
Fakalava anamjibu clkey

Subiri nfunge ofisi nije
Clkey anamjibu fakalava

Siyo kuhamia, hii inaitwa mwenye nyumba karudi mpangaji atahamishwa kwa mguvu.
Convo zinaendelea

Helo helo heloooooo ya baby hahahha


Hapa Clkey anakuja kuniharibia conversation yangu na Sakayo.

Sasa Sakayo Naamini umeona haka kamchezo kanavyofanya mama..

Clkey anakuchezea akili mama, Clkey yupo na Fakalava..nimekusanya hii convo nikuoneshe ukweli wa mambo..

Please Sakayo wangu! Please Utamu wangu! Please roho yangu...

Rudi mke wa maisha yangu...!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…