Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
mchepuko huo veep mm nitauweka wapi baby punguza mawivu
Mbona umejibia uku kule waogopa nini
mchepuko huo veep mm nitauweka wapi baby punguza mawivu
Ntakutoa bushaaMzee mkavu nayo iko vip iyo
![]()
![]()
AhaaaaaahNiko real jux wivu shemela nikaa namuona kwa mbaliii
Ndo utuliee kicheche boyUsinipe AkA nyongine please.
Halafu hilo ni la sifa mbaya.
bas ndio tukuzoee hizi hizi usituchanganyie madesaYap ile sitaiweka tena maana kuna miwatu ilikua inajua mm ni Ke ajili ya ile avatar.
Unamaanisha baby ndo anakagua avatar ?,Shunie vipi hii avatar ipo bomba au?
Hahahaa! Niko pouwa kama siku zote mkuu..Nafurahi leo uko poa
Khaaa mm sina wa kumuogopa humu zaidi ya mods wenye uwezo wa kunipa ban nimejib mbona![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mbona umejibia uku kule waogopa nini
How is you jooh!Poa poa.
Kama wanataka mabusha wakujaribuuhana wivu na mm ndio mana yake
bomba sna ray vanny bonge la handsome uwe unaweka zake tu tukuzoee kwa avatar za ray vanny
Kwenye uzi za watu nitapewa ban kutoka nje ya mada nimeshakatazwa na mods sanaKama wanataka mabusha wakujaribuu
Leee?Ahaaaaaaaaah rappa mmoja hatari sanaa ....yupo naona ya jana kakutana na Danger rafiki yake Frank (mzee mwenyewe)
ya kwako badilisha muweke huyo huyo labda lkn inayoonyesha nywele![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Na yangu jee
hiyo hiyoLeee?
Hii ndo ile series yenye jamaa flani ni shoga?
Hakuna rudisha ileile tushakuzoea vibayaYap ile sitaiweka tena maana kuna miwatu ilikua inajua mm ni Ke ajili ya ile avatar.
Hahahaaa!Haikuhusu