Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Our Lord Jesus is comingShalom Maranatha
Our Lord Jesus is comingShalom Maranatha
Nafurahi leo uko poaHahahhahahaa!
Wewe bisha tuu!
Baadaye wakuu...mchana mwema kwa wote
Poa poa.Za mchana jamani
Nambie wanguPoa poa.
MTOTO;Baba shule tumeambiwa tupeleke 500 ya mlinzi.
BABA;Mwambie headmaster wewe unalindwa na damu ya Yesu...![]()

Kutana na king mwenyewe Lyon lucious..mkewe cookie na watoto wao hakeem ,Andre and Jamal
"A music family"
Matimbwiri ya humo sio mchezo
![]()
Ahaaaaaaaaah rappa mmoja hatari sanaa ....yupo naona ya jana kakutana na Danger rafiki yake Frank (mzee mwenyewe)![]()
Gangster pekee aliyesababisha niipende na kufatilia hiyo kitu. Japo ni muda sana maana niliishia series ya 3
Niko hapa ofcn, nipitie tuondoke wote.Nambie wangu
Aisee nifanyie "manuva" niipate mkuu.Ahaaaaaaaaah rappa mmoja hatari sanaa ....yupo naona ya jana kakutana na Danger rafiki yake Frank (mzee mwenyewe)
Subiri nfunge ofisi nijeNiko hapa ofcn, nipitie tuondoke wote.
Aisee nifanyie "manuva" niipate mkuu.
Hicho kichwa ni injini nyingine kabisa. Alimvua mchana dogo kwenye free style sitosahau. Dogo kidogo ameze mic
Umeamia kwa fakalava ??Subiri nfunge ofisi nije
Unajua tuna dili ganiUmeamia kwa fakalava ??
SijuiiiiUnajua tuna dili gani
Basi tulia, tunaenda onana na mwenyekit wa KoromijeSijuiiii
Na ndo ukae nae huyoo mwache transcend na baby wakeBasi tulia, tunaenda onana na mwenyekit wa Koromije
HaikuhusuNa ndo ukae nae huyoo mwache transcend na baby wake