KaribuHello Makapuku, nikaribisheni humu, mana nimekua nikiranda randa tu huko mitaa mingine nimeona nihamiage na humu sasa
Ulijifanya siku ile ni baba siambiliki.mwache aendelee ale ban yaan ban zimenifunza sitaki kabisa mm kubadilisha topic za watu
Nipe nafasi.Huweziii ata nikikukuta rumu naye najua ndo walewale as dar full kusimuliana tamthilia
rijali yeyote hafurahii mambo ya ushogaDoo!
Thats why sikuipenda
Leo naona ka pimbi hakapo vizuri.![]()
![]()
![]()
![]()
aksante sana nimeona mwanahakati kiboko yao
umemaanisha nn hapoHuweziii ata nikikukuta rumu naye najua ndo walewale as dar full kusimuliana tamthilia
Nzuri pacha.hivi ni kweli makeup zikikatazwa kuna baadhi ya watoto hawatawajua mama zao??
habari zenu wakuu
ban ya juzi ujue sijuti halaf nilijua nitapewa ban tuUlijifanya siku ile ni baba siambiliki.
Shemu sakayo yuko wapi
![]()
![]()
![]()
![]()
sisi wengine ata hatutumii zikatazwe tuhivi ni kweli makeup zikikatazwa kuna baadhi ya watoto hawatawajua mama zao??
habari zenu wakuu
Usirudie.ban ya juzi ujue sijuti halaf nilijua nitapewa ban tu
Bora huku mkuumods hawapendi utoke nje ya mada kwenye mada ya watu unapewa ban hiv hivi mm ndio mana nipo makini sana unaweza niquote nisijib sbbu ya ban
uzi gan uliweka mmu
But mshua kamthibitiiDoo!
Thats why sikuipenda
yule ilifika mwisho ile siku mondray nilimvumilia sanaUsirudie.
Ukiona mtu kakukera hama jukwaa the mlipoti kwa invisible
Ha ahhahahaha, Mussa 'nabii';alikuwa na wake + masuria (concubines) utakuwa baba mchungaji werrason na unga wa Kongo ulivyojaa

hivi ni kweli makeup zikikatazwa kuna baadhi ya watoto hawatawajua mama zao??
habari zenu wakuu
