Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Aiiiseh lee mtu mbaya sana aseeNITAKUPA BAN!!!!
In lee voice
Aiiiseh lee mtu mbaya sana aseeNITAKUPA BAN!!!!
In lee voice
Ndio kioo changu shunii nikivaa hua namuuliza kama nimependeza.Unamaanisha baby ndo anakagua avatar ?,
Alafu wamefuta Uzi wangu kule sijui yKhaaa mm sina wa kumuogopa humu zaidi ya mods wenye uwezo wa kunipa ban nimejib mbona
Hahahaaa..Siyo kuhamia, hii inaitwa mwenye nyumba karudi mpangaji atahamishwa kwa mguvu.
usimchuuze mwenzio na ww toa hiyo ya soudyHakuna rudisha ileile tushakuzoea vibaya
WHY KICHECHE?Ndo utuliee kicheche boy
Yaaaah Jamal sema anakipajii balahaLeee?
Hii ndo ile series yenye jamaa flani ni shoga?
Aiiiseeèeeeehya kwako badilisha muweke huyo huyo labda lkn inayoonyesha nywele
Nitaweka hizo hizo angalau namm nionekane HBbas ndio tukuzoee hizi hizi usituchanganyie madesa
Umelogwaa wewe sio bureeNdio kioo changu shunii nikivaa hua namuuliza kama nimependeza.
Umemuona mbaya wako??Hahahaaa..
Hujuiiii???WHY KICHECHE?
mods hawapendi utoke nje ya mada kwenye mada ya watu unapewa ban hiv hivi mm ndio mana nipo makini sana unaweza niquote nisijib sbbu ya banAlafu wamefuta Uzi wangu kule sijui y
Utabaki hivyo hivyo na miavataa yako mibaya.Umelogwaa wewe sio buree