Makapuku Forum

Haya sasa tuangazie matukio yaliyotokea March 31

1889 - Mnara wa Eiffel Tower wazinduliwa rasmi huko Jijini Paris Nchini Ufaransa.

Ulibuniwa na Gustave Eiffel ambaye alikoselewa sana na baadhi ya watu kuwa mnara huo hauna shepu au muonekano wa kuvutia.

Una urefu wa mita 324 kwenda juu, sawa na viwanja vitatu vya mpira, na unatembelewa na watu takribani Milioni 6 kwa mwaka toka sehemu mbalimbali Duniani.

Ni moja kati ya alama na minara maarufu duniani.

Ndio utambulisho wa Jiji la Paris.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…