Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wapendwa Makapuku naamini mko salama na Mungu anazidi. Kuwatetea,mimi namshukuru Mungu sijambo baba mchungaji pia hajambo,naomba Mungu azidi kututetea na kutubariki wagonjwa wapone,wenye changamoto zozote zipite na tuwe na amani na mshikamano siku ya ijumaa ya leo iwe ya baraka tele,nawapenda sana mbarikiwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom