Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kitu kibaya zaidi..

Kama hali iko hivi na mkulu anataka tena neema ya kura za Watz 2020

Je akishashinda 2020 na hapo awe anajua hana wa kunyenyekea as long as hiyo ni term ya mwisho..?
Tatizo kichwa chake kimejaa ugali
Angekuwa mjanja awamu hii angekuwa "mpole" zen tukimchagua awamu ya pili afanye ujinga wake ht kuiba mali za umma aibe
.......
 
162d2f40521b54fb04c0b055436facd1.jpg
Asante


Ila mama mchungaji atawanyooshaa
 
Oyoooooo niaje???

There is big challenge with Magufuli..

We are now under capitalism whether you like it or you don't

Sasa hivi private sector ndo imashika uchumi, ukiuwa sekta binafsi unamaliza uchumi..

Ukitaka serikali ifanye kila kitu unauwa ushindani wa kibiashara sana..

Mkapa hakuwa mjinga kufanya privatisation..
Yet gov't has to play its role especially to create an conducive environment for the private sectors....

My take: magu instead of creating he is destroying the environment created by his former presidents mkapa and kikwete
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom