mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
John : ```Mpenzi, kweli nakuhitaji naomba uwe wangu.```
Kademu: ```Lol, samahani Nina boyfriend wangu.```
John : ```Kweli ila Hata miamba ya Goli ina makipa lakini mastraika wanafunga.```
Kademu : ```Haha,upo kama beki Sasa Katika hili.```
John : ```Sergio Ramos ni beki lakini ana magoli mawili Katika Fainali za Ligi ya Mabingwa.```
Kademu : ```Vyovyote, Boyfriend wangu ni mrefu na ni tajiri.```
John : ```Sikia,Manuel Neüer ana Futi 6.4 Ila Messi bado anamfunga kwa kuchop.```
Kademu : ```Sawa ila unajua Messi ni tajiri kuliko Neüer ?
Nina uhakika na hilo.```
John : ```ni Kweli Lakini Messi Sio mrefu kama Neüer kwahiyo Hapo ni 1-1.```
Kademu: ```Hujawahi Kukata tamaa wewe?```
John : ```Chile wamecheza Mpira kwa miaka 99 bila kushinda Copa America,Lakini Wamekomaa na Wamelipata.```
Kademu: ```Uelewa wako Wa soka Unaweza kukupatia nafasi sehemu.```
John : ```Kabisa na Next destination ni kwenye Moyo wako.```
Kademu : ```Jamani, Af Unajua nitakublock Sasa hivi
```
John : ```Mwaka 2006, Petr Cech alijaribu kumblock Stephen Hunt ili``` ```asifunge,Baadae Aliishia kuumia na nasfi yake```
Kademu :``` We ni Genius, NIPITIE SAIZ,NIPO FREE.```
```John : NAKUFATA```
(Sipendagi Ujinga)

Kademu: ```Lol, samahani Nina boyfriend wangu.```
John : ```Kweli ila Hata miamba ya Goli ina makipa lakini mastraika wanafunga.```
Kademu : ```Haha,upo kama beki Sasa Katika hili.```
John : ```Sergio Ramos ni beki lakini ana magoli mawili Katika Fainali za Ligi ya Mabingwa.```
Kademu : ```Vyovyote, Boyfriend wangu ni mrefu na ni tajiri.```
John : ```Sikia,Manuel Neüer ana Futi 6.4 Ila Messi bado anamfunga kwa kuchop.```
Kademu : ```Sawa ila unajua Messi ni tajiri kuliko Neüer ?
Nina uhakika na hilo.```
John : ```ni Kweli Lakini Messi Sio mrefu kama Neüer kwahiyo Hapo ni 1-1.```
Kademu: ```Hujawahi Kukata tamaa wewe?```
John : ```Chile wamecheza Mpira kwa miaka 99 bila kushinda Copa America,Lakini Wamekomaa na Wamelipata.```
Kademu: ```Uelewa wako Wa soka Unaweza kukupatia nafasi sehemu.```
John : ```Kabisa na Next destination ni kwenye Moyo wako.```
Kademu : ```Jamani, Af Unajua nitakublock Sasa hivi
```John : ```Mwaka 2006, Petr Cech alijaribu kumblock Stephen Hunt ili``` ```asifunge,Baadae Aliishia kuumia na nasfi yake```