Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,600
- 6,721
Ah sijasema mimi wangu ukhuty..Hahahahmbona sijaona list yako na ukhuty hapo
Ah sijasema mimi wangu ukhuty..Hahahahmbona sijaona list yako na ukhuty hapo
Karibuuuhahahhhhh Rogie
Tutakunywa maziwa....Mwambie wewe mke a mtu
Mshika pembe..unaweza faidi hata maziwa.msukule mh....Hivi kipi bora, kuwa msukule au mshika pembe? 🙂
Mwambie mazoea yasizidi mipakakwani amekwambia ananitakaye kaja kumfata ukhuty wake
Wew unapendelea kipiiHivi kipi bora, kuwa msukule au mshika pembe? 🙂
Mbona umegiveup kirahis ivoNatangaza rasmi kibumbu ni mseja tena huru,kila unayemgusa humu ana mtu.duh..nisubiri member mgeni nitupie ndoano yangu
HeheheheheMshika pembe..unaweza faidi hata maziwa.msukule mh....
Wee nengenekwaaTutakunywa maziwa....
Tuletee faizaMbona umegiveup kirahis ivo
Kila unayemtunuku yupo ndani ya box.na ugeni huu unaweza tolewa macho navuta pumzi mkuuMbona umegiveup kirahis ivo
Yule mwalimu wa kiswahili siasani?hapana bibi yule kwangu mkuuTuletee faiza
Hahaha kwanini?![]()
unatafuta Busha tu mkuu
Hahhaha mi mwenyew nashangaa humu kapuku wanawake sio wengi labda nenda mmuKila unayemtunuku yupo ndani ya box.na ugeni huu unaweza tolewa macho navuta pumzi mkuu

Ukuta as wall au ukuta gani?Utaweza kurukwa ukuta??
Muachee![]()
unatafuta Busha tu mkuu
We jibuUkuta as wall au ukuta gani?