Habari wakuuu mko poa?
Naona kuna watu wanalia humu ajili ya kuachwa.
Halafu kuna mtu nimeona anajipendekeza kwa
ukhuty wangu. ONYO.. Kama anataka nimfanye msukule wa kuswaga dagaa ziwani aeendelee.
Pages nyingi sana nimetoa like hadi kidole kimechoka pg 30!! Ur so awesome