BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Morning mkuu have a nice dayMorning family...
Morning mke wa vana vangu Sakayo..
Nishaingia mzigoni mama, niko nachanga dollari now...
Nitunzie huo moyo wangu..!
I am deadly in love with princess Sakayo [emoji173][emoji173]
Mzima kabisa mama mchungajiSalama mzima mkuu ubarikiwe
Njema barikiwaHabar za asubuhi makapukuz
Hakika ,ubarikiweSalama kabisa. Tumshukuru Mungu tumepewa siku nyingine. Please tuitumie vyema! Mochwari duniani kote bila shaka zimejaa maiti kibao lakini sisi tungali tunapumua. Upendeleo ulioje!
Pamoja!TBT njema Mussolin5
ndio ni weweMimi tena
Ukae nawe pia amenMzima kabisa mama mchungaji
Amani ya bwana na upendo wa Mungu baba ukakae nasi sote
Njema za kwakohabari za asubuhi
Sihitaji majaribu nipo kwenye tobandio ni wewe
Nyagei anakutafuta huku
Nimechelewa wapi?Hahahaaa!
Mwambie keshachelewa
Babu hataki ujinga [emoji3] [emoji3]Babu Anawahadithia Wajukuu Zake Hadithi
Babu: Tulipokuwa Vitani Tulitekwa Na Maadui, Nusu Yetu Waliuwawa Na Nusu Nyingine Walibakwa.
Wajukuu: Babu Kwa Hiyo Wewe Ulikuwa Kundi Gani?
Babu: Nani?
Wajukuu: Wewe!
Babu: Nani? Mimi.... Mimi... Niliuwawa![emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji120]Ukae nawe pia amen
huku kwema tunashukuruNjema za kwako
kachelewaje yaniHahahaaa!
Mwambie keshachelewa
Kafanana na Jaap Stan ila mwili jumba km Zlatan
...