BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Asante mama mchungajiHabari za leo makapuku wapendwa ,naamini mmeamka salama namwomba Mungu awasaidie katika kila jambo wagonjwa awaponye,wenye kuuguza Mungu awatetee,wafiwa Mungu awafariji,wenye changamoto mbalimbali Mungu aingilie kati,nawapenda sana sana naomba Mungu atupe amani na mafanikio....tuombeane heri na baraka tele,namuombea Shunie jamani amalize Ban.....nammiss sana.mbarikiwe.
Amen asanteAsante mama mchungaji
Shunie ashafunguliwa ban
Right handKizuri kula na nduguyo.. maji ya mende buku mbili tu siku hiyo
Safari ParkUnakunywa baa gani kijana
LEO Katika HISTORIA:
1965 - Bomu lililotegwa katika gari lalipuka mbele ya Ubalozi wa Marekani katika mji wa Saigon huko Nchini Vietnam na kuua Watu 18 huku majeruhi wakiwa 22.
Habari ya asubuhi mkuuWakuu mnakimbiza mida hiii
1981 - Rais Ronald Reagan wa Marekani anashambuliwa kwa risasi kifuani alipokuwa akitoka katika Hotel huko Jijini Washington D.C
Risasi hizo zilimpata kwenye mbavu na kusababisha damu kuvuja ndani kwa ndani. Kama sio kukimbizwa Hospitali ya karibu angepoteza Uhai wake.
Kutokana na tukio hilo, kumekuwa na utaratibu wa kutembea na damu ya akiba katika gari la Rais wa Marekani ili kujaribu kuokoa maisha ya Rais pindi inapohitajika.
Alishambuliwa na John Hinckley Jr ambaye alikuja kuachiwa baada ya kuonekana ana tatizo la akili.
Watu watatu walijeruhiwa ambao ni walinzi wawili na katibu wa Rais, James Brady ambaye alipooza mwili wote.
Miaka mingi baadae ilikuja kusemekana, Makamu wa Rais wa Marekani kipindi hiko, George H.W. Bush alikuwa nyuma ya Jaribio hilo la kumuua Rais ili yeye achukue madaraka, kwani Katiba ya Marekani inasema endapo Rais atafariki Makamu wa Rais ataapishwa kuwa Rais.
Pia Rais Reagan vita yake dhidi ya madawa ya kulevya ndio ilisababisha jaribio la kujaribu kumuua.
Ndio Rais wa mwisho wa Marekani kupigwa risasi akiwa Madarakani lakini hakufa.
Tuko poaMmeamshwaje wapendwa
Usiquote tena magazetiAsante mkuu. Msalimie...
Na huko Rufiji kuna nini? Mbona kila siku mauaji? Wakurya wamehamia huko ama?
1968 - Celine Dion anazaliwa.
Mwanamuziki nguli na mahiri wa muziki laini kutoka nchini Canada.
Mama wa Watoto watatu ambaye ameachana na Mumewe mwaka jana 2016.
Baadhi ya vibao vyake ni I Love You, Immortality, Power of Love, think twice nk.
Kibao chake cha My heart will go on ndio nyimbo aliyouza zaidi katika historia yake ya kufanya muziki.
Kwangu mimi ni mmoja kati ya wanamuziki ninaowakubali sana.
SalamaHabar za asubuhi makapukuz