Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
Hahaaaa mimi sina mke wala mchepuko nikijibaka??Vipi juisi ya komamanga ushatengeneza?![]()
Hahaaaa mimi sina mke wala mchepuko nikijibaka??Vipi juisi ya komamanga ushatengeneza?![]()
Ukhuty si yupo.. ile kitu mim mwenyewe naiogopa kuianza ila tiari iko kwa frijiHahaaaa mimi sina mke wala mchepuko nikijibaka??
Hahaaaa mimi sina mke wala mchepuko nikijibaka??
Naona umeamua kuwataja hadi waalimu wenu eeh.
Mm bado mgeni kule nitatoa like tu sikoment.
Walah CHAPUTA HAITAISHA.
Hahaaa kwahiyo ukhuty atanisaidiaje au niibake avatar yake kwenye simu..Ukhuty si yupo.. ile kitu mim mwenyewe naiogopa kuianza ila tiari iko kwa friji
Hahah.. acha uogaHahaaa kwahiyo ukhuty atanisaidiaje au niibake avatar yake kwenye simu..
Mim sifanyi
Kuna darasa lilitolewa na stunter jana jinsi ya kutengeneza Natural ViagraKuna jwisi ya komamamnga tena, wapi?
Nikiwa nataka kupata manzi nitafanyaHahah.. acha uoga
Nimeitoa kwa stunter.. anadai ni hatari kwenye mambo yetu yaleeeKuna jwisi ya komamamnga tena, wapi?
kasubscribe ule uzi kwa matumizi ya bdae madai yakeVipi juisi ya komamanga ushatengeneza?![]()
Mm ni Retired soldierHa hahahhahah, kumbe uko pia
Ndio kwa matumizi ya baadae sio sasakasubscribe ule uzi kwa matumizi ya bdae madai yake
Kama hivikama nakuona umesindikiza na msonyo
si mchezoKama hivi
Kizuri kula na nduguyo.. maji ya mende buku mbili tu siku hiyo
Nipe namba zao please nataka wanifanyie tangazo ya maharage yanguKizuri kula na nduguyo.. maji ya mende buku mbili tu siku hiyo