mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
Tunakesha mkuuTuko real mkuu
Mambo tu kubana mzèe mkavu ila nipo na shunie kakumis
Utarogwa bureeee mkuuUwiiiii ....kama namuona lubuva vile![]()
![]()
![]()
![]()
Ndo manake ila itakuwa Poa ukileta manziMpaka majogoo ausio
Nyagei naona umepata mdogo wako na wewe..Humu sio kifaranga ni cha kubebwa vingine vitakubeba wewe
Amina kubwa Mkuu... Yaani nimejihisi nipo kanisani
Mkuu tuzame kulee?,Nyagei naona umepata mdogo wako na wewe..
Mkubhi
Baby wangu!Yuko na BH
Aksante kwa taarifa...nilikuwa naitafta sana!!1991 - N'Golo Kante anazaliwa.
Kiungo mkabaji wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa.
Shujaa wa klabu ya Leicester City ilipochuku Ubingwa wa EPL mwaka 2016.
Mimi kule nahisi nitakuwa napigwa bani kila mara...Mkuu tuzame kulee?,


Watakua uko mkuuShunie na dada yake wako wapi kwanza..?![]()
Ahaaaaaah kweli mkuu ila kule kwa wakubwa watoto Chaplin hawapo tutafute njiaa tuzameMimi kule nahisi nitakuwa napigwa bani kila mara...
Manake mtu akimtongoza sakayo tuu mimi siwezi kuvumilia..
Bora jana hukuwepo mkuu.
Muombe InvisibleMkuu jukwaa la wakubwa napitiaa wapii
Nipeni kaka na Mimi koz naona sina ndugu humu...shukulani za thati kwako TranscendNyagei naona umepata mdogo wako na wewe..
Mkubhi
Jukwaa la wakubwa ndo lipi hilo..Mkuu tuzame kulee?,

