Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Sitafuti tena now nimekuwa kaka mchungajiSasa utampeje wakati wewe huna yoyote kazi kuhangaika
Lakini neno langu sio sheria
Sitafuti tena now nimekuwa kaka mchungajiSasa utampeje wakati wewe huna yoyote kazi kuhangaika
TUTAONA.Sitafuti tena now nimekuwa kaka mchungaji
Lakini neno langu sio sheria
Sitafuti tena now nimekuwa kaka mchungaji
Lakini neno langu sio sheria
Hahaha ni hatar mkuuHaha.. iko kitanda silalii mkuu unaweza kujihisi tiari safari ishakukuta
Happy birthdayNamshukuru M/Mungu pamoja na rehema zake kwa kunifikisha leo hii.. siku ambayo nilizaliwa. Na naendelea kumuomba anibariki miaka mingi zaidi na heri duniani.. HAPPY BIRTHDAY TO ME![]()
Happy Birthday mkuu Mungu akupe maisha marefu ya barakaNamshukuru M/Mungu pamoja na rehema zake kwa kunifikisha leo hii.. siku ambayo nilizaliwa. Na naendelea kumuomba anibariki miaka mingi zaidi na heri duniani.. HAPPY BIRTHDAY TO ME![]()
Asante Benitto..1962 - Rais Arturo Frondizi wa Argentina anapinduliwa katika mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa na Jeshi la nchi hiyo na kuhitimisha mgogoro wa katiba uliodumu kwa siku 11.
Shunie nilijua atakula ban tuu !hahhahah pale unapokesha na lee anakuja
Leo katika Historia:
1951 - Ethel Rosenberg na Julius Rosenberg wanakamatwa kwa kosa la kufanya Ujasusi na kuvujisha taarifa za Marekani kwa Warusi.
Wanakuja kunyongwa mwaka 1953 baada ya kutiwa hatiani.