BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
HahahahaWERRASON
HahahahaWERRASON
Anakuja mwenyeweBaba mchungaji ni nani?
Baba mchungaji ni nani?
Baba mchungaji ni nani?
1962 - Rais Arturo Frondizi wa Argentina anapinduliwa katika mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa na Jeshi la nchi hiyo na kuhitimisha mgogoro wa katiba uliodumu kwa siku 11.
1973 - Katika vita ya Vietnam, Kundi la mwisho la Wanajeshi wa Marekani linaondoka huko Kusini mwa Vietnam baada ya kukubali yaishe.
Morning mkuu ubarikiweMorning family..
Nawatakia siku njema
Asante sana mkuuHappy Birthday mkuu Mungu akupe maisha marefu ya baraka
Asante sana mkuuHappy birthday
UbarikiweGuys mko poa nyote?
Ashukuriwe Mungu kama mko poa.
Kwa sababu zilozo nje ya uwezo wangu
Leo sitaingia humu labda hadi jioni.
Ukhuty sweetie wangu jitunzee eeeh!!
Humu haupo salama kuna watu wanakutolea macho. Nadhani wanajifahamu.
Wasikulaghai.
Kaa ukijua Mond anakupenda sana.
Usimuumize please.
Mida tutaonana.
2004 - Nchi za Bulgaria, Lithuania, Latvia, Romania, Slovenia na Slovakia zajiunga katika Umoja wa Kujihami kwa Nchi za Magharibi ( NATO ).
Hakuna ubaya nikianza kula sadaka zenuHukawii kuwa asikofu
Huko wanaongoza kwa mapinduzi S America1962 - Rais Arturo Frondizi wa Argentina anapinduliwa katika mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa na Jeshi la nchi hiyo na kuhitimisha mgogoro wa katiba uliodumu kwa siku 11.
2013 - Watu takribani 36 wanapoteza maisha baada ya Jengo la Ghorofa 16 kudondoka Jijini Dar Es Salaam.
Hivi kwa sasa ipigwe battle kati yao nani ataibuka mshindi?1973 - Katika vita ya Vietnam, Kundi la mwisho la Wanajeshi wa Marekani linaondoka huko Kusini mwa Vietnam baada ya kukubali yaishe.
Jiamini bhanaGuys mko poa nyote?
Ashukuriwe Mungu kama mko poa.
Kwa sababu zilozo nje ya uwezo wangu
Leo sitaingia humu labda hadi jioni.
Ukhuty sweetie wangu jitunzee eeeh!!
Humu haupo salama kuna watu wanakutolea macho. Nadhani wanajifahamu.
Wasikulaghai.
Kaa ukijua Mond anakupenda sana.
Usimuumize please.
Mida tutaonana.
R. I. P2013 - Watu takribani 36 wanapoteza maisha baada ya Jengo la Ghorofa 16 kudondoka Jijini Dar Es Salaam.
1874 - Lou Henry Hoover anazaliwa.
Alikuwa ni Mke wa Rais Herbert Hoover wa Marekani.