Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Karibu....
Mondray na nyageni
Tuliwapokea kama wewe! Nikawapika vizuri sasa hivi ni makapuku wa kufa mtu![]()
kaka ila mimi ulinipokea kama mwizi eehh

Karibu....
Mondray na nyageni
Tuliwapokea kama wewe! Nikawapika vizuri sasa hivi ni makapuku wa kufa mtu![]()
kaka ila mimi ulinipokea kama mwizi eehh

Aaaiseeh atamimi ilikuwa ivo ivo mkuu using'oke huku kapukuJamani nimekubali mwenyewe.... Kwa duniani hakuna mahari pazuri kama huku MAKAPUKUNI....natamani kujenga familia huku huku![]()
Wewe ulikuja kwa speeed mno..![]()
kaka ila mimi ulinipokea kama mwizi eehh
![]()
![]()
![]()
![]()

Jamaa siku hizi kawa cool kabisaWewe ulikuja kwa speeed mno..
Nilikuwpokea...ila Lee alikumold vizuri sasa hivi umetulia mubasharaaa
Au unahisi unataka kuongezewa kitu..?
Dogo ana mbwembwe hatariNyagei naona umepata mdogo wako na wewe..
Mkubhi
Mimi ndiye kaka yako ni mwendo wa upako tuNipeni kaka na Mimi koz naona sina ndugu humu...shukulani za thati kwako Transcend
Karibu....
Mondray na nyageni
Tuliwapokea kama wewe! Nikawapika vizuri sasa hivi ni makapuku wa kufa mtu![]()
Nina windaAsante mkuu kwa hilo...
Tutambulishe shemela basi
Hahaaa mm mwenyewe nilikua nakuita Nyangei. Kajina kama mziziNyagei
Nenda MMU beba mmoja mlete huku tumpe usajili wa kudumu tuongeze ndoaJamani nimekubali mwenyewe.... Kwa duniani hakuna mahari pazuri kama huku MAKAPUKUNI....natamani kujenga familia huku huku![]()
Nenda MMU beba mmoja mlete huku tumpe usajili wa kudumu tuongeze ndoaJamani nimekubali mwenyewe.... Kwa duniani hakuna mahari pazuri kama huku MAKAPUKUNI....natamani kujenga familia huku huku![]()
Amefika hapaNakukabidhi kwa mondray na Nyagei
Mimi nitakuwa nagusia gusia tuu vitu vidogo vidogo
Mondray mpikeni huyu kijana mkubhi
Nyagei mdogo wako huyo..mpe somo kidogo kidogo..
NotedNyagei
95% complete hizo tano ni IQ yake tuKubwa la hapa Makapuku..
1. Kila mtu ni sawa na mwingine..we are all equal
2. Kila mtu anamheshimu mwenzake hapa..-No matusi
-No dharau
3. Unachangia as much as you can
4. Unapata like na wewe unagonga like
5. Upendo kwa members wote
6. Utani ni sehemu ya maisha ya hapa makupuku ili kutoa stress..
7. Hapa hakuna historia ya Bani, labda ukaipatie huko MMU kwa kujitakia..
8. Tunajadili chochote hapa ! Habari yoyote wewe weka hapa..ISIPOKUWA zile zinazovunja sheria za Jamiiforum
Karibu makapuku...
Nishakupika kwa 50% tayari
Hahahhaa! Umuweke kwenya kamatiMimi ndiye kaka yako ni mwendo wa upako tu
Hahaaa!Jamaa siku hizi kawa cool kabisa
Napenda awe hivyo. Kipindi kile alikuja na speed ya bombadia

Nilicheka pale lee empire alipomuambia kua yy ni mod akanyweaHahahhaa! Umuweke kwenya kamati
Hahaaa!
Alikuja fastaa! Yaani post 3 keshamtongoza shunie wa watu![]()