Makapuku Forum

Makapuku Forum

nimezaliwa upya ata unipige kibao nitakugeuzia upande wa pili ila yule chizi jana yalinifika mwisho nawapenda sana badae
Ulichokifanya sio sawa coz huyo mtu ingelikuwa mara ya kwanza atlst lakini ni sturbon hakuna hasiye mjua na wewe unamjua fika

Au kisa moderator wanakupa ban ya Siku 1

Ila vizuri watakuogopa umewaonesha upande wa pili wako
 
lee nimemuignore sana sana lkn matusi ya jana yalinifika mwisho mm pia binadamu nina moyo na ban niliyopewa sio ya siku moja ila nashkuru kurudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom